速報APP / 生產應用 / Ufugaji na Matibabu Vet.

Ufugaji na Matibabu Vet.

價格:免費

更新日期:2019-06-20

檔案大小:8.0M

目前版本:1.1.1

版本需求:Android 4.1 以上版本

官方網站:https://www.mshindoveterinarycentre.com

Email:mshindomediatz@gmail.com

聯絡地址:Njombe, 15000 Njombe, Iringa, Tanzania.

Ufugaji na Matibabu Vet.(圖1)-速報App

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Ufugaji na Matibabu Vet.(圖2)-速報App

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.

Email: mshindomediatz@gmail.com

Ufugaji na Matibabu Vet.(圖3)-速報App

WhatsApp: 0762 799 080

Website: www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.

Ufugaji na Matibabu Vet.(圖4)-速報App

Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Ufugaji na Matibabu Vet.(圖5)-速報App